Matokeo ya Kidato Cha Pili Mkoa wa Katavi NECTA 2025/2026 Form Two, Matokeo ya Kidato cha Pili 2025/2026 yanayojulikana pia kama Form Two Results 2025–2026, Matokeo Form Two 2025/2026 NECTA, au kwa jina rasmi Form Two National Assessment (FTNA) 2025 Results, ni miongoni mwa matokeo muhimu zaidi katika mfumo wa elimu ya sekondari nchini Tanzania.
Matokeo ya Kidato Cha Pili Mkoa wa Katavi
Jinsi ya Kuangalia Matokeo ya Kidato cha Pili 2025/2026
Njia ya Mtandaoni (Online)
- Hakikisha una kifaa chenye intaneti (simu au kompyuta).
- Tembelea tovuti rasmi ya NECTA: www.necta.go.tz
- Chagua sehemu ya Form Two National Assessment (FTNA) 2025 Results.
- Fungua orodha ya shule na tafuta shule yako.
- Pakua au hifadhi matokeo yako kwa matumizi ya baadaye.
Njia ya SMS
Kwa wanafunzi au wazazi wasio na intaneti, NECTA hutoa huduma ya SMS:
- Piga *152*00# kwenye simu yako.
- Chagua Elimu kisha NECTA.
- Chagua Matokeo.
- Ingiza namba ya mtihani ya mwanafunzi pamoja na mwaka wa mtihani.
- Fuata maelekezo hadi upate matokeo.
Links za Kufatilia:
https://onlinesys.necta.go.tz/
https://www.necta.go.tz/results/view/ftna
Mtihani wa Upimaji wa Kitaifa wa Kidato cha Pili (FTNA) unaoendeshwa na Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) hufanyika baada ya wanafunzi kukamilisha miaka miwili ya masomo ya sekondari. Lengo lake ni kupima kiwango cha ufaulu, uelewa na umahiri wa mwanafunzi kabla ya kuendelea na masomo ya Kidato cha Tatu.
Makala Nyingine;



Leave a Reply