Matokeo ya Kidato Cha nne Mkoa wa Morogoro NECTA 2025/2026

Matokeo ya Kidato Cha nne Mkoa wa Morogoro NECTA 2025/2026 Form Four, Matokeo ya Kidato cha nne 2025/2026 yanayojulikana pia kama Form four Results 2025–2026Matokeo Form four 2025/2026 NECTA, au kwa jina rasmi Form four  CSEE Form Four Results 2026, ni miongoni mwa matokeo muhimu zaidi katika mfumo wa elimu ya sekondari nchini Tanzania.

Matokeo ya Kidato Cha nne Mkoa wa Morogoro

Jinsi ya Kuangalia Matokeo ya Kidato cha nne 2025/2026

Njia ya Mtandaoni (Online)

  1. Hakikisha una kifaa chenye intaneti (simu au kompyuta).
  2. Tembelea tovuti rasmi ya NECTA: www.necta.go.tz
  3. Chagua sehemu ya Form four 2025 Results.
  4. Fungua orodha ya shule na tafuta shule yako.
  5. Pakua au hifadhi matokeo yako kwa matumizi ya baadaye.

Njia ya SMS

Kwa wanafunzi au wazazi wasio na intaneti, NECTA hutoa huduma ya SMS:

  1. Piga *152*00# kwenye simu yako.
  2. Chagua Elimu kisha NECTA.
  3. Chagua Matokeo.
  4. Ingiza namba ya mtihani ya mwanafunzi pamoja na mwaka wa mtihani.
  5. Fuata maelekezo hadi upate matokeo.

Links za Kufatilia:

https://www.necta.go.tz/

https://onlinesys.necta.go.tz/

https://www.necta.go.tz/results/view/csee

Mtihani wa Upimaji wa Kitaifa wa Kidato cha nne(CSEE) unaoendeshwa na Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) hufanyika baada ya wanafunzi kukamilisha miaka miwili ya masomo ya sekondari. Lengo lake ni kupima kiwango cha ufaulu, uelewa na umahiri wa mwanafunzi kabla ya kuendelea na masomo ya Kidato cha Tano.

Makala Nyingine;