NECTA Kutangaza Leo Matokeo ya Kidato Cha Pili (FTNA 2025/26) Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) linatarajia kutangaza rasmi Matokeo ya Upimaji wa Kitaifa wa Kidato Cha Pili (FTNA 2025) leo, tarehe 10 Januari 2026.
Upimaji huu ulifanyika mwezi Novemba 2025 na ni kipimo muhimu kinacholenga kutathmini uwezo wa mwanafunzi katika stadi za msingi za:
- Kusoma
- Kuandika
- Kuhesabu
Matokeo haya humsaidia mwanafunzi kujiandaa vyema kabla ya kuingia Kidato Cha tatu.
- Kupitia nijuzeajira.com, utaweza kupata Matokeo ya Kidato Cha Pili 2025 kwa urahisi
- Kuanzia saa 5:00 asubuhi
- Bofya link ya Matokeo ya Kidato Cha Pili 2025 mara tu yatakapotangazwa.
Links za Matokeo;










Leave a Reply