NECTA Kutangaza Leo Matokeo ya Darasa la Nne (SFNA 2025/26)

NECTA Kutangaza Leo Matokeo ya Darasa la Nne (SFNA 2025/26) Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) linatarajia kutangaza rasmi Matokeo ya Upimaji wa Kitaifa wa Darasa la Nne (SFNA 2025) leo, tarehe 10 Januari 2026.

Upimaji huu ulifanyika mwezi Oktoba 2025 na ni kipimo muhimu kinacholenga kutathmini uwezo wa mwanafunzi katika stadi za msingi za:

  • Kusoma
  • Kuandika
  • Kuhesabu

Matokeo haya humsaidia mwanafunzi kujiandaa vyema kabla ya kuingia Darasa la Tano.

  • Kupitia nijuzeajira.com, utaweza kupata Matokeo ya Darasa la Nne 2025 kwa urahisi
  • Kuanzia saa 5:00 asubuhi
  • Bofya link ya Matokeo ya Darasa la Nne 2025 mara tu yatakapotangazwa.

Links za Matokeo;